Search

135 results for Salehe Mohamed :

  1. Mvua  ilivyoacha maumivu mmoja adaiwa kufa Dar

    Miongoni mwa athari iliyosababishwa na mafuriko ni kusombwa kwa mali, uharibifu ikiwemo wa magari ambayo mengine yalisombwa na maji, makazi kujaa maji na kuezuliwa mapaa, miundombinu kuharibiwa...

  2. Sajili zilizotiki Ligi Kuu Bara hizi hapa

    Dirisha la usajili msimu huu likielekea kufungwa usiku wa leo timu nyingi za Ligi Kuu Bara zimeshakalimisha baadhi ya sajili huku zingine zikipigana vikumbo bado sokoni.

  3. Ukila, kuchinja mbwa faini Sh57.5 milioni

    Bunge lipitisha muswada wa kupiga marufuku kuchinja, kuuza, kuzalisha nyama ya mbwa

  4. Wanne wakiwemo askari polisi wafariki kwa ajali Njombe

    Amesema chanzo cha ajali hiyo ni gari ndogo iliyokuwa ikiendeshwa na askari polisi kutochukua tahadhari wakati ikiipita gari nyingine na kwenda upande wa pili, jambo ambalo lilisababisha magari...

  5. Wanawake Afrika waweka mikakati ya kujikwamua

    Wanawake na vijana barani Afrika wametakiwa kuunganisha nguvu zao katika masuala mbalimbali, ili washiriki kikamilifu katika soko huru la Afrika linalolenga kuwakwamua kiuchumi.

  6. Hisia mchanganyiko Polisi ikikanusha mtandao wa udhalilishaji

    Licha ya matukio ya udhalilishaji Zanzibar kuongezeka, Jeshi la Polisi visiwani hapa limekanusha kuwepo kwa mtandao wa watu wanaojihusisha na matendo hayo.

  7. Stamico kuwashika mkono wachimbaji wadogo

    Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema kilio cha wachimbaji wadogo kukosa fursa ya mikopo hivi sasa kimepata suluhisho baada ya kuingia makubaliano na taasisi tano za kifedha kwa ajili ya...

  8. Chalamila ahofia magazeti kufa baada ya miaka michache

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema anahofia miaka 10 hadi 20 ijayo, magazeti hapa nchini yatakufa kama hayatafanya maboresho na kuingia kwenye mfumo wa kidijitali.

    New Content Item (1)
  9. PRIME Maumivu ya moto Kariakoo, mapya yamwibua Chalamila

    Moto uliozuka juzi na kuteketeza maduka na vibanda kadhaa Kariakoo jijini hapa, umefichua mgogoro wa umiliki wa eneo la Mnadani, ambalo pia limeungua likiacha siri nzito juu ya biashara...

  10. Kajubi ang'oka MCT, Sungura amrithi

    Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga ametangaza kuachia wadhifa huo ndani ya miezi mitatu kuanzia leo Septemba 28, 2023 baada ya kudumu kwenye wadhifa huo kwa...

Page 1 of 14

Next